Bidhaa za Norland siyo bidhaa kama za jirani.Bidhaa hizi zinayo ubora wa kimataifa kwasababu zimetengenezwa Kwa ustadi na teknologia bunifu ya kisasa. Kwanza zimefanyiwa utafiti wa kina na vipimo maradufu na kupata vyeti maalum. Hii ndiyo sababu zinafanya kazi Kwa haraka. Wateja wengi ulimwenguni wemefaidika na bidhaa za Norland. Je ni Teknologia gani hizo? Teknologia hizo ni za Celli,3D, Quantum na TCM. *Technologia ya Celli* inamaanisha bidhaa zinatengenezwa Ili ziweze kufanya tiba kwanzia Kwa level ndogo ya Celli Hii hufanya dawa asili ilenge chanzo cha tatizo ambayo ni Kwa celli Zetu. Hivo basi dawa asili itafanya kazi Kwa mda mfupi na Sisi ndogo ikiwa Kwa sababu inalenga chanzo.
*TEKNOLOGIA YA 3D* Hii ni teknologia bunifu ya kisasa inayotumiwa kwenye viwanda Ili kuboresha bidhaa. Hivo Sawa za Norland Kwa kutengenezwa Kwa 3D teknologia huwa za penya kwenye sehemu husika Kwa Kasi .Hii husababisha mtumiaji kupata nafuu Kwa haraka na dozi ndogo hivo vilevile kupunguza gharama za matibabu Kwa jumla.
*Quantum* ni teknologia bunifu inatumia vigezo maalum vya uhandisi(engineering) na phisia (physics').Hii huleta ubora wa bidhaa.
*TCM* ni Nyanja inayozingatia elimu na mfumo wa dawa asili za Kichina. TCM imetukiwa kwa Miaka zaidi ya 5000 kule Uchina kutibu na kuboresha afya Kwa kuzingatia kuzuia magonjwa,kuilinda afya na kutibu chanzo cha magonjwa.Vilevile tiba Hii inafuatilia kusawazisha afya Kwa kutulinda nguvu za mwili za *qi* (+ na -) ambayo inajulikana kama *Ying na Yang* ama *baridi na joto*.Hivo hufanya nwili uwe na usawa na hivo Sawa hizi asili hutengenezwa Kwa kuzingatia Ying na Yang. *Qi* lazima iwe Sawa Kwa organi zote Ili kupata tiba .*Qi* isiyo Sawa Kwa organi flani inaweza leta matatizo Kwa organi nyingine.Hivo technologia Hii huzingatia tiba Kwa kulenga Ying na Yang Ili kusawazisha *Qi* ya mwili. Tujivunie bidhaa za Norland Kwa ubora wake.
GI VITAL.
GI vital ni bidhaa iliyo boreshwa toka Kwa GI MEBO na hutumiwa kama kirutubisho. Inauwezo wa kuzalisha upya mfumo wote wa mwili na organi zingine za mwili. Inazo chembe chembe hai Mama zenye uwezo wa kuzalisha upya,Kukarabati na kuboresha chembe hai zote za Mwili hivo Vilevile organi na tissu za mwili.Hii ni pamoja na ngozi hasa za watu walio unguwa na Moto au shida za ngozi kama vile vipele. Kwa vile inazalisha upya mfumo mzima wa mwili ,hupunguza Kasi ya kuzeeka.Utafiti umebaini kwamba inazalisha upya Kukarabati na kuboresha mfumo wa utumbo na kutibu magonjwa ya utumbo kama vile saratani ,asidi nyingi na gesi nyingi . GI vital inakarabati ,kuzalisha upya na kuboresha mfumo wa ubongo,mifupa na organi na tissu zote mwilini.
U.T.I
Leo nimeona ni vyema nikushirikishe kuhusu UGONJWA wa URINARY TRACT INFECTION ( U.T.I ) ambao ni HATARI na una uwezo wa kuharibu FIGO pamoja na KIBOFU CHA MKOJO n.k.
ASILIMIA kubwa ya WATU hawajui vizuri UGONJWA wa UTI.
Kumekuwepo na maelezo tofauti tofauti kutoka kwa WATU mbalimbali na wakati mwingine hata wataalam wa AFYA kuhusu UGONJWA huu lakini bado WATU wengi wanakanganyika na UKWELI halisi.
Leo nitajaribu angalau kuelezea kidogo walau JAMII iujue UGONJWA huu vizuri.
Kirefu cha UTI ni Urinary Tract Infection ikimaanisha MAAMBUKIZI kwenye njia ya MKOJO.
Njia ya MKOJO inaanzia kwenye mrija wa MKOJO kwa MWANAUME na MWANAMKE. Mrija huu unajulikana kama URETHRA na ukishapata MAAMBUKIZI ugonjwa sehemu hii unaitwa URETHRITIS. Njia ya MKOJO inayofuata baada ya URETHRA ni BLADDER yaani KIBOFU.
KIBOFU kikipata MAAMBUKIZI ugonjwa unajulikana kama CYCITITIS.Baada ya KIBOFU inafuatia MIRIJA miwili inayokwenda kwenye FIGO mbili.MIRIJA hii inaitwa URRETERS.Na ikishaambukizwa inajulikana kama URRETITIS.
Na mwisho wa njia ya MKOJO ni FIGO mbili yaani KIDNEYS. Na hizi FIGO mbili zikishaambukizwa ugonjwa unajulikana kama NEPHRITIS.
Sasa basi ni VYEMA tukijua ni VIMELEA wa aina gani wanaoleta UGONJWA wa UTI.
Hapa nitajaribu kuoanishana na kupanga VIMELEA katika makundi maalum.
VIMELEA vinavyojulikana :-
1.BACTERIA e.g. Streptococci,Staphylococci,E.Colli,H.Influenza,Proteus sp.Pseudomonas etc.
2.VIRUSES e.g. Clamydia tracomatis.
3.FUNGI e.g. Candida albicans
4.TRICHOMONIASIS
5.SCHISTOSOMIASIS( Kichocho )
6.PARASITES
7.GONORRHEA ( Kisonono )
WATOTO wadogo mara nyingi wanapata UTI kutokana na KUTOBADILISHA NEPI kwa wakati na hivyo UNYEVU wa MKOJO na MAVI huvuta VIMELEA na kuleta MAAMBUKIZI.
Kwa WATU WAZIMA hasa wale wanaofanya NGONO ZEMBE wanapata MAGONJWA ya ZINAA kwa urahisi na hivyo wanakuwa tayari wana UTI.
Kuna FIKRA imejengeka miongoni mwa JAMII kuwa UTI inaletwa kwa urahisi kwenye VYOO vya kuchangia.
DHANA hii kwangu si sahihi sana kwakuwa WANAUME wanakojoa kwa kuagiza MKOJO kwa mbali kama RISASI kwenye tundu la choo. Sasa hao VIMELEA wanafuata mkondo wa MKOJO kama unavyofanya UMEME ?.Au wanaruka na kuja kuingia kwenye TUNDU la MKOJO ?Jibu ni HAPANA..!!
Kwa WANAWAKE wao wanajisaidia kwa KUCHUCHUMAA .Wakimaliza hawatoezi au hawasoteshi NYETI zao kwenye SINKI au SHIMO la choo,na wala VIMELEA vya MAGONJWA vilivyomo chooni haviambukizi kamwe kwa njia ya MVUKE.
DALILI:-
Dalili za UTI zinaonekana kulingana na aina ya MAAMBUKIZI.
Lakini DALILI kuu kwa WATOTO na WATU WAZIMA zinafanana nazo ni:-
-Maumivu wakati wa kukojoa na pengine kutoka UCHAFU au USAHA kwenye njia ya MKOJO.
-Kichocho dalili zake ni kukojoa DAMU na MAUMIVU.
- Changamoto za UTI ziko nyingi na zinategemeana na aina ya MAAMBUKIZI.
UTI ( Urinary Tract Infection ) ni UGONJWA unaoambatana na MFUMO mzima wa NJIA ya MKOJO kutokea kwenye MAFIGO,MIRIJA YA MKOJO (Ureter),KIBOFU,TUNDA (Prostate gland ) na njia ya kupitia MKOJO kwenye UUME ( Urethra ).
Hivyo SABABU huambatana na chanzo cha TATIZO katika mojawapo ya sehemu husika mfano:-
1.Ugonjwa wa SUKARI hufanya kiwango cha sukari kuwa KIKUBWA kwenye DAMU kwa vile MAFIGO kazi yake ni kuchuja DAMU hivyo SUKARI huingia kwa WINGI kiasi cha kusababisha VIJIDUDU ( Bacteria ) kuzaliana kwa WINGI kwenye MAFIGO au KIBOFU cha MKOJO .
2.MADAWA/SUMU huchubua UTANDO wa njia ya MKOJO na kusababisha BACTERIA kuzaliana.
3.MATATIZO ya VIJIWE kwenye FIGO /MIRIJA ya MKOJO, KIBOFU, hufanya msongamano wa MKOJO na VIJIDUDU huzaliana.
4.MARADHI ya TUNDA ( Prostate gland ) huvimba na kufunga njia ya MKOJO. Matokeo yake kuuzuia na kuweka MKOJO kwa muda mrefu kwenye KIBOFU mpaka BAKTERIA kuzaliana.
5.TENDO la NDOA (Sexual intercouse ) unapata VIJIDUDU moja kwa moja kutoka kwa MWANAMKE mwenye maambukizo.
6.KUJICHUA,tendo hili mara nyingi WATU hutumia MAFUTA au SABUNI ambazo huwa zina KEMIKALI zinazopenya kwenye MRIJA wa MKOJO huwasha na kusababisha VIDONDA ambavyo BAKTERIA hukua na kuzaliana.
7.USAFI,aidha kwa KUJIKAMUA sana baada ya KUKOJOA,KUTAWAZA maji machafu,kutokuwa na hali ya UNADHIFU.Huko chini kuna VIJIDUDU ambavyo huishi baina ya NJIA ya HAJA KUBWA na MAKORODANI kutokana na hali ya UJOTO humea vizuri na kupata nafasi ya kukuingia kwenye MIRIJA kama utakuwa huna TABIA ya kuwapunguza kwa USAFI.
Ni matumaini yangu nimejaribu kukutajia SABABU KUU MUHIMU ambazo katika MAZINGIRA ya kawaida huenda zikakusaidia kukata KIU yako.
LAKINI PIA SIO VIBAYA NIKIKUDHIBITISHIA KWAMBA ENDAPO UNASUMBULIWA NA CHANGAMOTO HII NJOO TUKUSAIDIE KUPATA TIBA YA UHAKIKA ISIYO NA be MADHARA KUPITIA BIDHAA ZETU.
Norland HYPOGLYCEMIC HERBAL
Hii huenda moja kwa moja kuanzia kwenye figo,Ini,kongosho,mapafu, na kumalizia na moyo.....ikifika kwenye mapafu hurekebisha zile bronchial tubes na kuondoa ile infection ambayo ndionaita influenza na Pneumonia. Mtu huyu akiwa na damu iliochujwa safi kwa hypoherb,hujikuta akipumua vizuri na mafua kukatika wakati huohuo oxygen supply ikifanyika kwa uwezo mkubwa kupitia mapafu yake....
PROPOLIS-LECITHIN
. Propolis hutoka Kwa mzinga.Hii hàpa hutumiwa na nyuki kama kinga Yao na ya mzinga wao.Kwa Miaka mingi binadamu ametumia propolis kwaajili ya faida zake Kwa afya..Norland baada ya utafiti wa kina wameiunganisha propolis Safi na Lecithin.Lecithin inayotoka Kwa vyakula inasifa zake Kwa afya .Muungano huu wa bidhaa hizi Mbili imetuletea bidhaa Hii murwa kabisa. Sifa zake ni kama ifuatavyo. Husafisha damu na kuponya vidonda vilivyoonekana kwa inje na kuvikausha kabisa kwa kasi ya ajabu. Propolis pia hukinga kuta za ndani ya kuanzia puani (nostrils) system nzima ya E&T, na mapafuni na Kwa mshipa midogo ya damu.Ni kinga imara. Pia ni antioxidant,antiinflamatory antiaging --Huboresha mzunguko wa damu na kupunguza Kasi ya kuzeeka.
Maelezo kuhusu GI vital + detox+Zinginezo
Kila mwili wa binadam ulitengenezwa kwa mpango maaalum wa kujihudumia wenyewe pale tatizo linapotokea,lakini hizi sumu zikizidi huua huo mpango ,ndio maana mtu anaanza kuugua presha kisukari,cancer na mengineyo mengi. Mfumo mzima wa mwili wa binadam ukitolewa sumu ukakaa sawa ,hamna kitakachousumbua tena mwili.
Ndio Mchina katika utafifi wake aligundua Cell ya binadamu ikishambuliwa na sumu, huchoka,hufa,huvunjika,huzeeka,na huugua pia. Ndipo alipogudundua kitoa sumu kiitwacho WU QING DETOX FORMULATION ......Ni kitoa sumu kunachosafisha mwili kwa asilimia 100% kuanzia utosini mpaka ukucha wa mguu.
Pia hiki kitoa sumu husafisha kwa umakini mkubwa viungo vitano muhimu katika mfumo wa binadam ambavyo ni FIGO,INI,BANDAMA,MAPAFU NA MOYO.
Ukiangalia vizuri katika tatizo ulilonalo limesababishwa na kati ya viungo nilivyovitaja hapo juu. Na kwahiyo baada ya kusafishwa , Mchina alitafiti mfumo mpya wa kulisha cell hizo kukuuza,kuziongeza na kuzilinda. Ndio akaja na Formula ya GI , Yaan Gastrointestinal capsule kusafisha mfumo mzima wa ufyonzaji chakula tumboni na kulisha cell zirudie hali yake ya mwanzo. Kufanya hiyo tuu haikutosha aligundua pia katika viungo 5 vya binadam kila kiungo kinahitaji virutubisho asilia ili kujana upya cell maeneo husika ndio akaendelea kugundua Hypoglycemic Capsules na Hypoglycemic Herbal kwa ajili ya kisukari na presha.
Na hapo tatizo la binadam likawa limemalizika
: IMMUNE + ( IMMUNE PLUS). Utaisikia kila mara ikitamkwa kuwa ni combination nzuri kwa mwanamke kwa sababu zifuatazo.Hurekebisha hormones za mwanamke na hivyo kuachilia mayai yaliokomaa tayri kwa kurutubishwa na mwanaume. Pia huleta joto zuri kwa ,mwanamke, joto ambalo mwanamke hufurahia tendo la ndoa ,na sio kuumizana...Pia husababisha myeyuko wa fibroids (uvimbe ) kwa mwanamke ambao husababisha uvimbe kujiachia pahala ulipokuwa umejishika na kuporomoka ikisaidiana na pedi ya kike..Nouripad....
Ni kisababisho kikubwa mno kwa mwanamke anaetamani kushika mimba....💃💃💃💃 HYPOGLYCEMIC CAPSULES.
Hypoglycemic ndio dawa ya kisukari .Inayo dawa asili na virutubisho vya Selenium.Huthibiti kisukari na adhari zake na kusaidia kukarabati kongosho kwenye Islet.Kwa waliyo na ugonjwa wa presha waanze Kwanza Hypoglycemic Herbal maana matatizo ya mfumo wa metabolisia hubomolewa na presha .Ahsante.
Kwa tiba ya presha ni Hypoglycemic herbal na Propolis-Lecithin.
VIDONGE VYA VISION VITALE vinasaidia mambo mengi katika macho
1.Inarekebisha nguvu ya kuona iliyoanza kufifia.
2.Inasaidia mzunguko wa damu katika neva za jicho hivyo kuondoa uchovu katika jicho.
3.Inasaidia watu walio na shida ya mtoto wa jicho na matatizo yatokanayo na uzee.
4.Virutubisho vilivyopo kwenye vision vitale vinasaidia neva za jicho kwa kuondoa sumu iliyopo kwenye jicho.
5.Inalipa jicho afya njema ya kuweza kuona usiku na mchana.
BISKUTI ZA ISLYM
Watu wengi wanahangaika kupunguza unene lakini hawafanikiwi na wengine unene unazidi mpaka inafika kipindi miguu kuuma, magonjwa ya moyo na magonjwa mengine kukushambulia haraka na minyama uzembe
Hii hufanya kazi/husaidia kuondoa sumu na mafuta yaliozidi mwilini ambayo yanaweza kusababisha magonjwa mengine kushambulia mwili.
kuondoa uchafu ulioziba katika mfumo wa chakula na kukupa mfumo bora wa ulaji na kupunguza uzito kwanzia kilo 5 mpaka 9.
Vilevile inabadilisha muonekano wako kutoka kwenye unene kuelekea kule unapotaka
Na husaidia kuondoa nyama uzembe pale unapopungua au unayo mda mrefu na husaidia kupunguza calories
KWA WANAOTAFUTA KUSHIKA MIMBA.
Hamu ya tendo la ndoa kushuka chini au kukosa hamu ya tendo la ndoa kabisa kwaajili ukosefu wa virutubisho na kufanya mwili dhaifu virutubisho hivi asilia huthibiti/husaidia na kuleta hamu ya tendo la ndoa, inasadia kuleta stamina, inasaidia kuondoa depression-msongo wa mawazo, inasaidia kuondoa kukomaa kwa hedhi, inarutubisha mayai, inaongeza idadi ya mbegu za kiume na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri, inabance kiwango cha chuma kwenye damu, kupromote matumizi ya glucose kwenye damu na kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta. Tumia Ginseng-cordyceps ,immune vitale na pedi husika(Nouripad ama za Anion)
KWA KUPUNGUNZA UNENE
Kwa kupunguza unene tumia Kuding tea na Islym.Kuding tea huondoa mafuta ya cholesterol mwilini na huboresha mzunguko wa damu.Pia huosha mshipa ya Damu na pia mfumo wa umegenyaji wa chakula .Islym nayo ni lishe kamili ambayo inavirutubisho 250 ambayo hupatia nwili lishe kamili Ili kuwezesha nwili kufanya kazi zake bila wasiwasi.Mtu anapo tumia Islym hahisi njaa wala kuchoka hivo basi Islym bar hutumika kama chakula mbadala.Mtu anatumia kipande kimoja mara 3 Kwa siku pasipo Kula chakula kabisa. Chai ya Kuding matumizi iwe mara Mbili Kwa siku , Asubuhi na jioni saa moja kabla ya Kula Kipande cha Islym.Islym unaweza changanya na Yogurt ata maziwa au juice ya asili ya matunda.Ahsante.
KWA WANAOUMWA NA MIGUU
Unatatizo la miguu au unamfahamu mtu mwenye tatizo la miguu, je ww ni mwanamichezo unaumia kwenye maungio ya mifupa mara kwa mara na kuchechemea au mikono na hujui cha kufanya . Usikose hivi virutubisho. Watu wengi hasa wazee na watu wenye miili mikubwa wamekuwa wakiteseka sana na hili tatizo la miguu Hii nikwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute katika jointi za mifupa Na hivyo hupelekea misuguano katika mifupa na mifupa inaposuguana hupelekea maumivu makali sana na maumivu yakizidi hupelekea mtu kushindwa kutembea kabisa
Lakini suluhisho lipo ipo njia salama inayoweza kukusaidia kuondoa tatizo lako tunabidhaa nzuri sana ambazo zimesaidia watu wengi sana Na hivi ni virutubisho ambavyo vipo katika mfumo wa kinywaji na kidonge na pia havina madhara yoyote wala kemikali yeyote ile vinaitwa Norland Detox pro,Peptides Nouripads, Immune vital na Calcium-Iron-Zinc au Expert of Calcium na GI vital.
Bidhaa hizi husaidia sana kurudisha uteute katika jointi za mifupa na kuimarisha mifupa na kupelekea mtu kutembea kabisa tena bila ya maumivu.
WOQUING NOURI PADS
*Woquing* *Nouripads*ni Pedi za kitaalam zilizo na dawa asili ya kichina . Pedi hizi zimefanywa utafiti wa kina na kulewa vyeti vya ubora wa utendakazi wake. Imetengenezwa na 💯% ya pamba Safi,kipande cha dawa asili na film inayopumua. Husababisha hedhi isiyo na tatizo.Hutibu UTI,huweka joto kwa miguu na mikono,husafisha mfumo wa uke na uzazi Kwa undani ,huzuia saratani ,hufanya nwili use na muonekano mzuri(slim shape), hulainisha ngozi,huyainua maziwa ,hufanya usingizi mwanana,hutoa uvimbe Kwa kizazi k.v Fibroids.Nzuri Kwa kuondoa maumivu ya kiuono na kuchoka ovyo. Hutia mwili joto.
DETOX PRO
Zimefanyiwa utafiti wa Kina Kwa zaidi ya miaka Kumi na maproffessa bingwa.Inavyo vyeti maradufu vya ubora wake.Hii dawa imetumiwa na wateja zaidi ya millioni 10 sasa duniani kote. Ndio detox namba 1 duniani.Inafanya kazi Kwa masaa machache.Inapenya kwenye seli Kwa sababu imetengenezwa Kwa technologia ya Norland ya Seli,quantum., TCM na 3D.Huondoa sumu toka kila organi na unaiona kulinganisha na rangi ya kinyesi.Hii ndio dawa Pekee iliyo na bima ya ubora iliyochukuliwa na Norland. Wote wanaojali Afya ni lazima watumie Wuquing detox pro. Kuna masharti ya kuzingatia-Usimpee magonjwa mahututi,wajawazito na wanaonyinyesha, Watoto Chini ya umri wa miaka 16 au Mtu zaidi ya miaka 68,Mtu aliye na matatizo ya moyo au aliye na historia ya shida za moyo. 🙏🏾. Pata ushauri zaidi kabla ya kumpa mteja kama unamshuku.🙏🏾
PEDI ZA ANION
*Norland* *Pedi* *za* *Anion* .Hizi pedi zimetengenezwa Kwa ustadi mkubwa.Zimetumia 100% ya pamba safi inayo pumua hivo kuhakikisha usafi.Inayo kipande cha Anion ambayo husawazisha nguvu za like na pH pamoja na hormoni za kike.Inasaidia kuzuia UTI, harufu mbaya, uchungu unaotangulia au kuambatana na hedhi na maadhara inayoweza fuatilia,huzuia muwasho, ukuaji wa bakteria na cancer ya mlango wa kizazi, huongeza kinga ,huondoa uchungu unaosababishwa na uwashwaji wa mfumo wa uzazi na kukupa afya ya kizazi . *kwaajili ya ya kuamsha utendakazi wa Anion weka tone la maji kwenye kipande hicho cha Anion*
*MICRO-MOLECLUE OLIGOPEPTIDE
Ni aina ya molekyuli za asidi amino ndogo (protini) zinazojulikana Kwa kifupi kama PEPTIDES.Peptide inayo asidi amino 20.Hii ni lishe Safi inayopatia mwili lishe mara moja.Imefanyiwa utafiti na vipimo vya juu. Inatolewa mimea ya soya Safi, ngano na samaki wa bahari zenye kina kirefu(kuhakikisha chakula chao hao samaki hakina sumu) na kuboreshwa Kwa technologia ya Celli, quantum,3D na TCM .Ipo Kwa mfumo wa unga. Peptide ndiyo mawe na simiti ya mwili wako Kwa mfano wa ujenzi wa Nyumba🏠 imara..Inaimarisha afya na nguvu za chembechembe hai za nwili🏋🏽♀. Utafiti unabainisha Kwamba 70% magonjwa yanayozuilika husababishwa na ukosefu wa lishe mwilini na sumu zilizozidi💀.Sifa zake kwa afya njema ni 1.Inaboresha mzunguko wa Damu Hadi Kwa mishipa midogo ya kapillari .2.Husawazisha mafuta mabaya Kwa mazuri mwilini.3. Lishe ya ubongo hivo kuongeza kumbukumbu na kuzuia stroke.🧠 4.Huongeza kinga 5.Hukarabati uteute wa viungo na kuboresha misuli 🏌🏾♂🏌🏾♀6.Matumizi yake huzuia magojwa ya Moyo na Saratani. 7 Huboresha umege'nyaji wa chakula 🍜 . 8.Huchangia mfumo wa uundaji wa Damu hivo ni Nzuri Kwa Upungufu wa Damu mwilini. 9.Huzuia Damu kuganda au kuwa nzito Kwa kusawazisha kolesterol (mafuta) 10. Nzuri Kwa kuimarisha ngozi na kuifanya Nyororo💃🏾👨🏼🌾. 11. Hupunguza athari za kiafya zinazo sababishwa na vilevi 🥃🍻 12. Inayo faida Kwa waliyo na kisukari ,Shinikizo la damu , Ugonjwa wa Moyo na mishipa ya Moyo. 13. Huboresha nguvu za kiume/kike 🍆 .Zipo vifurushi 15 Kwa boxsi ,tumia 1-3 Kwa kuchanganya na maji ya uvuguvugu 150-200ml au Kwa juice asili ya mboga ama maziwa fresh kadri upendavyo. Ni salama Kwa wote Kwa dozi husika. Tumia NORLAND MICRO-MOLECLUE OLIGOPEPTIDE Kwa ubora wake.* 👌🏽🏋🏽♀
. *BETACAROTENE
Ni lishe inayotoka Kwa mimea na hutumiwa na mwili kama Vitamini A. Inapatikana Kwa mimea kama vile Karoti🥕🥕,Maboga, chinisi🥬,viazi vitamu 🍠🍠 ,na matunda mbalimbali kama Apricot🍒,Matunda mbalimbali,kitunguu maji 🧅 n.k. Vit A ni kifukuza sumu(antioxidant) ambayo huzuia chembechembe hai kuvamiwa . Betacarotene inasifa zifuatazo 1.Inasaidia kuboresha nguvu za macho na kuona vizuri usiku na mchana.👀 2. Huongeza kinga mwilini😷 3.Kwa utendakazi mzuri wa Moyo💓 4.Inazuia Saratani❗5.Huboresha ngozi 👌🏽. 6.Inazuia Saratani ya tezi dume ⚓7.Husaidi kukuza nywele zenye afya 🧒🏽 8.Inaboresha afya ya mifupa hasa Kwa mifupa iliyodhoofika 🦿🦾 9.Inalainisha mfumo wa upumuaji 👃🏽10.Inafaa Kwa wanaoskia makali ya miyonzi ya jua Kwa ngozi ⛱ .Inafaa Sana Wakongwe na wanaolenga faida zake. Tumia *NORLAND* *BETACAROTENE* *Kupata* *Faida* *hizo*
KAHAWA YA CORDYCEPS
Cordyceps ni muundo toka Kwa mmea wa cordyceps.Inayo kahawa, syrup ya glucosi,Maziwa ,mafuta asili ya mimea na viongeza ladha. Inaongeza nguvu mwilini na kuondoa uchovu.Inaboresha Kinga ,inaondoa mafuta mabaya ya kolesterol ,inboresha utendakazi wa Moyo ,inasaidia mfumo wa upumuaji insadia kupambana na Saratani ,inaboreha nguvu za kijinsia ,inathibiti kisukari cha Aina ya 2, inapunguza Kasi ya kuzeeka ,Kwa anemia,kuchoka na ini.
KUPUNGUZA UNENE
kupunguza unene tumia Kuding tea na Islym.Kuding tea huondoa mafuta ya cholesterol mwilini na huboresha mzunguko wa damu.Pia huosha mshipa ya Damu na pia mfumo wa umegenyaji wa chakula .Islym nayo ni lishe kamili ambayo inavirutubisho 250 ambayo hupatia nwili lishe kamili Ili kuwezesha nwili kufanya kazi zake bila wasiwasi.Mtu anapo tumia Islym hahisi njaa wala kuchoka hivo basi Islym bar hutumika kama chakula mbadala.Mtu anatumia kipande kimoja mara 3 Kwa siku pasipo Kula chakula kabisa. Chai ya Kuding matumizi iwe mara Mbili Kwa siku , Asubuhi na jioni saa moja kabla ya Kula Kipande cha Islym.Islym unaweza changanya na Yogurt ata maziwa au juice ya asili ya matunda.Ahsante.watu wengi wanahangaika kupunguza unene lakini hawafanikiwi na wengine unene unazidi mpaka inafika kipindi miguu kuuma, magonjwa ya moyo na magonjwa mengine kukushambulia haraka na minyama uzembe
Hii hufanya kazi/husaidia kuondoa sumu na mafuta yaliozidi mwilini ambayo yanaweza kusababisha magonjwa mengine kushambulia mwili.
kuondoa uchafu ulioziba katika mfumo wa chakula na kukupa mfumo bora wa ulaji na kupunguza uzito kwanzia kilo 5 mpaka 9.
Vilevile inabadilisha muonekano wako kutoka kwenye unene kuelekea kule unapotaka
Na husaidia kuondoa nyama uzembe pale unapopungua au unayo mda mrefu na husaidia kupunguza caloriesVile vile unaweza tumia GI capsules kusafisha na kuboresha,kukarabati na kuzalisha upya mfumo wa Umeg'eyaji wa chakula.
WOQUING DETOX PRO
Imefanyiwa utafiti wa Kina Kwa zaidi ya miaka Kimi na maproffessor bingwa.Inavyo vyeti maradufu vya ubora wake.Hii dawa imetumiwa na wateja zaidi ya millioni 10 sasa duniani kote. Ndio detox namba 1 duniani.Inafanya kazi Kwa masaa machache.Inapenya kwenye seli Kwa sababu imetengenezwa Kwa technologia ya Norland ya Seli,quantum., TCM na 3D.Huondoa sumu toka kila organi na unaiona kulinganisha na rangi ya kinyesi.Hii ndio dawa Pelee iliyo na bima ya ubora iliyochukuliwa na Norland. Wote wanaojali Afya ni lazima watumie Wuquing detox pro. Kuna masharti ya kuzingatia-Usimpee magonjwa mahututi,wajawazito na wanaonyinyesha, Watoto Chini ya umri wa miaka 16 au Mtu zaidi ya miaka 68,Mtu aliye na matatizo ya moyo au aliye na historia ya shida za moyo. 🙏🏾. Pata ushauri zaidi kabla ya kumpa mteja kama unamshuku.🙏🏾Kila mwili wa binadam ulitengenezwa kwa mpango maaalum wa kujihudumia wenyewe pale tatizo linapotokea,lakini hizi sumu zikizidi huua huo mpango ,ndio maana mtu anaanza kuugua presha kisukari,cancer na mengineyo mengi. Mfumo mzima wa mwili wa binadam ukitolewa sumu ukakaa sawa ,hamna kitakachousumbua tena mwili.
Ndio Mchina katika utafifi wake aligundua Cell ya binadamu ikishambuliwa na sumu, huchoka,hufa,huvunjika,huzeeka,na huugua pia. Ndipo alipogudundua kitoa sumu kiitwacho WU QING DETOX FORMULATION ......Ni kitoa sumu kunachosafisha mwili kwa asilimia 100% kuanzia utosini mpaka ukucha wa mguu.
Pia hiki kitoa sumu husafisha kwa umakini mkubwa viungo vitano muhimu katika mfumo wa binadam ambavyo ni FIGO,INI,BANDAMA,MAPAFU NA MOYO.
Ukiangalia vizuri katika tatizo ulilonalo limesababishwa na kati ya viungo nilivyovitaja hapo juu. Na kwahiyo baada ya kusafishwa , Mchina alitafiti mfumo mpya wa kulisha cell hizo kukuuza,kuziongeza na kuzilinda. Ndio akaja na Formula ya GI , Yaan Gastrointestinal capsule kusafisha mfumo mzima wa ufyonzaji chakula tumboni na kulisha cell zirudie hali yake ya mwanzo. Kufanya hiyo tuu haikutosha aligundua pia katika viungo 5 vya binadam kila kiungo kinahitaji virutubisho asilia ili kujana upya cell maeneo husika ndio akaendelea kugundua Hypoglycemic Capsules na Hypoglycemic Herbal kwa ajili ya kisukari na presha.
Na hapo tatizo la binadam likawa limemalizika
VIDONGE YA CORDYCEPS
Cordyceps ya vidonge na Sifa zake zote.
Huongeza kinga maradufu mwilini ,Kuongeza nguvu mwilini,Kwa wanaojihisi kuchoka ovyo,Kuongeza nguvu za kijinsia,Kwa wanoasumbuliwa na maradhi na homa mara Kwa mara, Kwa wavutaji sigara na matatizo ya njia ya upumuaji,Huthibiti kisukari na presha na huboresha afya ya Moyo..
EXPERT OF CALCIUM
Kalciumu ni lishe Bora Kwa afya ya mifupa,Meno, damu ,Moyo ,mishipa ya nwili na viungo .Ukosefu wake mwilini unaweza sababisha dalili za magonjwa na magonjwa mbali mbali mwilini.
Kalicium hii ni Bora Kwa wote.Ukilinganisha na bidhaa za kaliciumu hii Ndio No1.Mwili huitumia maramoja ,inaladha Nzuri na Bei nafuu.Imefanyiwa utafiti wa kina. Nzuri Kwa watoto,wanaonyonyesha, Kwa wamama wasiyo na uwezo wa maziwa ya kunyonyesha mtoto toshelevu,Kwa wazee wanaoumwa na viungo.Yabisi narudi,Kwa wale wanaganda miguu, Kwa wanaokosa usingizi mwanana,Kwa wanaumwa na mgongo na kiuno,Kwa wanaoumwa na kichwa mara Kwa mara.Nzuri Kwa kisukari na Shinikizo la damu. Inalinda Meno na mifupa isidhoofike. Hii *Expert of Calcium* kutoka Norland ndio Mwisho wa virutubisho vya Calcium.WATU WENGI TUNATUMIA DAWA ZA MENO ZENYE FLUORIDE ambazo makasha yake yameandikwa kwa herufi ndogo usimeze, tema, muone daktari wa meno kila baada ya miez mitatu. hii inamaanisha kuwa FLUORIDE NI SUMU. Fluoride baada ya mda husababisha cancer ya fizi na koo. Tumia Norland herbal toothpaste ambayo haina madini ya flouride ili uepuke cancer, vidonda vya mdomoni, harufu mbaya, kutokwa na damu kwenye fizi, meno kutoboka. PIA Husaidia meno kuwa meupe mda wote
Inaweza kutumika kwa ajili ya kikohozi kwa kumung'unya kidogo,pia kuumwa tumbo unamung'unya kidogo Kupaka sehemu uliyoungua kupaka kwenye kidonda hukausha na hupona bila kuacha kovu.*NORLAND NORLAND TOOTHPASTE* Norland TOOTHPASTE ni dawa ya meno inayotokana na mimea tiba ya asili ambayo imechanganywa kwa pamoja na kuifanya kuwa dawa yenye nguvu zaidi na bora kuliko zote.
Kwanini iwe na nguvu zaidi na bora kuliko zote??
Mimea tiba yake inasaidia kuboresha afya ya ngozi kwa mfano kwa wale wanaosumbuliwa na fangasi wa vidoleni au katika kucha
Ni dawa nzuri ya kusafisha meno kwa ulinzi kamili wa meno yako na kinywa
Inasaidia kukuweka fresh na kuwa na harufu nzuri ya kinywa wakati wote
Inasaidia kuua wadudu "Bacteria" wanaoeneza maradhi ya kinywa na meno
Inasaidia pia kwa wale wanaosumbuliwa na ganzi ya meno
Wenye meno mabovu inazuia yasiendelee kuharibika na kuliwa na wadudu
Hufanya meno yako kuwa meupe zaidi na ya kuvutia hasa kwa wale ambao meno yao yameharibiwa na matumizi ya vitu kama sigara
NB
•Kuua vijidudu katika kinywa
•Kuondoa harufu mbaya ya kinywa
•Kuponya fizi zinazotoa damu
•Kuondoa ganzi ya meno
•Kuondoa maumivu ya jino lililotoboka au fizi zilizovimba
•Kusafisha/Kung'arisha meno
•Kuponya fangasi wa koo na kinywa
•Kukausha mapunye, majeraha ya kuungua au kujikata
Tumia Norland TOOTHPASTE kuimarisha afya ya jino/ meno, fizi na kinywa chako kwani Ni salama zaidi kwasababu haina madini ya fluoride (yanayosababisha kuharibika kwa meno) badala yake kuna mimea tiba ya asili iliyochanganywa pamoja.
KUMBUKA KINGA NI BORA ZAIDI.
*Magonjwa na maelekezo ya dozi: 👇*
1⃣ *Breast, Cervical & Ovarian cancer*
Saratani ya matiti na ya mfukon wa mayai
▪Mebo GI
▪Immune plus
▪Oligopeptides
▪Propolis lecithin
▪Health pad (Female)
▪Sanitary napkin
▪Panty liner
2⃣ *Prostate cancer*
Saratani ya Tezi dume
▪Mebo GI
▪Health pad (Male)
▪Oligopeptides
▪Propolis lecithin
▪Immune Vitale
▪Panty liner
3⃣ *Fibroid* / *Ovarian* *cyst*
Uvimbe Kwa kizazi/Mfuko wa Mayai
▪Mebo GI
▪Health pad
▪Propolis/Cordycepts
▪Sanitary napkin
▪Panty liner
4⃣ *Low sperm count/ Impotence*
Upungufu wa mbegu na nguvu za kiume
▪Mebo GI
▪Health pad
▪Immune Vitale
▪Propolis/Cordycepts
▪Panty liner strips
5⃣ *Diabetes*
Kisukari
▪Mebo GI
▪Hypoglycemic capsules
▪Kuding tea
▪Oligopeptides
▪Calcium Zinc Iron
▪Hypoglycemic herbal (associated with liver problem)
▪Vision capsules
•Coesyceps caps
•Expert of Calcium
6⃣ *High blood pressure* / *Cardiovascular Problem*
Shinikizo la Damu/Ugonjwa wa Moyo
▪Mebo GI
▪Oligopeptides
▪Kuding tea
▪Magic frying pan
7⃣ *Rheumatoid Arthritis* */Bone issues*
Mifupa/Yabisi baridi
▪Mebo GI
▪Oligopeptides
▪Calcium Zinc Iron
▪Propolis
▪Panty liner
•Expert of Calcium
8⃣ *Weight loss*
Kupunguza Unene
▪Mebo GI
▪Islym bar
▪Kuding tea
▪Oligopeptides
9⃣ *Vision problems*
Macho
▪Mebo GI
▪Vision capsules
▪Oligopeptides
▪B carotene
🔟 *Kidney problems*
Magonjwa ya figo
▪Detox pack
▪Mebo GI
▪Health pad
▪B carotene
▪Cordycepts
▪Panty liner
⏸ *Dental problems*
Shida za Meno
▪Mebo GI
▪Sanli Mouth wash
▪Norland Toothpaste
▪Calcium Zinc Iron
•Expert of Calcium
1⃣2⃣ *Ulcer*
Vidonda vya Tumbo
▪Mebo GI👌
1⃣3⃣ *Sickle cell anaemia*
▪Mebo GI
▪Oligopeptides
▪Calcium
▪Zinc
1⃣4⃣ *Pile*
Bawasiri
▪Mebo GI
▪Health pad
▪Propolis/ Cordycepts
1⃣5⃣ *Polycystic ovarian syndrome* *(PCOS)*
Matatizo ya hormoni za kike na mfuko wa mayai
▪Mebo GI
▪Health pad
▪Oligopeptides { *kusawazisha mafuta mabaya Kwa mema mwilini
▪Hypoglycemic capsules *(kupunguza sukari mwilini)*
▪Immune plus
▪Panty liner
1⃣6⃣ *Stroke*
Kupooza
▪Mebo GI
▪Oligopeptides
▪Kuding tea
▪B carotene
1⃣7⃣ *Hormonal imbalance*
Homoni duni
▪Health pad
▪Oligopeptides
▪Sanitary napkin
▪Panty liner
1⃣8⃣ *Skin Rash/problem*
Shida za Ngozi
▪Mebo GI
▪B carotene
1⃣9⃣ *Hepatitis*
Homa ya ini
▪Mebo GI
▪Hypoglycemic herbal
▪Immune plus
▪Oligopeptides
▪Propolis
▪Panty liner
2⃣0⃣ *Vaginal discharge/Infection/ UTI*
Harufu mbaya Kwa kizaza/UTI na fangas
▪Health pad
▪Mebo GI
▪Propolis/Cordycepts
▪Panty liner
▪Sanitary napkin
2⃣1⃣ *Parkinson's disease*
Ugonjwa wa wa wakongwe kupoteza kumbukumbu
▪Mebo GI
▪Immune plus
▪Oligopeptides
▪B carotene
▪Calcium iron zinc
2⃣2⃣ *Asthma*
Athma
▪Health pad (M or F)
▪Mebo GI
▪Oligopeptides
Jinsi ya kufungua akaunti ya Norland.Tafuta Member world kwenye Google .Bonyeza hapo ZMD-NOR-LAND ikifungua dirisha la kuingia Norland weka Namba yako ya UG kisha iweke tena kama password kama ni mara ya Kwanza kuingia pale. Weka Hiyo verification code utakayo letewa hapo .Kama hauiyoni verification code vizuri ibonyeze na watakuwekea mpya.Iweke na ubonyeze hapo Kwa login.Ikifungua utakuwa Sawa.Baadaye hapo juu unaweza badilisha password na kuweka yakwako ya Siri.Usisahau password utakayo weka ni gharama kupata nyingine.Karibu.🖥🧨🔑Hizi ni bonus tofauti unazopata kutoka Kwa kampuni.Spending bonus ni bonus unayoweza tuma benki ,kutuma Kwa mwingine au kununulia bidhaa ama kusajili mwingine nayo.Bonus Account unaweza kununulia au kutuma Kwa spending . Repeat Account unawekewa na Kampuni kutumia kufungia mwezi.Huwezi kuitoa au kutumia mwingine. Product voucher ni zawadi ya kununulia products bure.Huwezi pewa hela aunkutumia mwingine. Coupon ni ya kununulia products pekee na Fortune ni Account ya wale wamejisajili na Fortune card.Ahsante.
Wiki ya Norland huanza kila jumatano hadi jumanne saa 11 jioni. Kunazo Bonus za kila wiki kama vile startup(Bonus za Mwanzo), group performance(Bonus zinaotoka Kwa watu wapya wanaojiunga) na product(Bidhaa za bure) voucher.Leadership bonus(YaUongozi), honourary bonus na repurchase (Manunuzi endelevu ya mwezi )bonus , bonus za stockists (Za yenye Duka)hulipwa kila mwezi.Utaziona bonus zako wiki ifuatavyo ijumaa Kwa back office(Account ya internet) Saa nne usiku.Bonus zinakuwa Tayari jumanne usiku. ●Short version of the presentation● Maelezo mafupi kuhusu kujiunga na faida za Norland.
👇👇👇👇
WELCOME TO NORLAND BUSINESS OPPORTUNITY!!💰🍃. KARIBU KWA FURSA YA UTAJIRI YA NORLAND
*Who is Norland ?* *Je,Kwanini uchague Norland*
🌺It is an international business originating from china.🌸 Norland ni kampuni ya Kimataifa kutoka Uchina.
🌺It is more than 25 years in business and almost 1year in Kenya.🌸 Ina ujuzi wa zaidi ya Miaka 25 na Tanzania ndio inaanzia.
*Do we have products in Norland?* *Bidhaa zipo?*
🌺Yes we have almost 100.🌸 Ndio kuna kaeibu bidhaa 100.
🌺we have supplements,skin care ,toiletries ,weight loss products. 🌸Kuna bidhaa za vitutubisho,za ngozi,za urembo, za kupunguza unene n.k.
*How do I join the business?* *Je naweza kujiunga aje?*
🌺sign the application form. 🌸Kwa kuomba fomu ya maombi ya kiingilio na kuijaza.
🌺register with any package of your choice.20k,40,90k180k and 360K
And get product worth your money. 🌸Chagua kifurushi na ulipie kisha uvhukue bidhaa sawia na hela ulizilipa ambazo unazohitaji. Kuna vifurushi vya kuanzia TSH 460000 na juu.
*what do I get for introducing 2 people into the system?* *Je, kuna faida gani nikisajili watu 2 Kwa mtandao wangu*
🌺you get pv which are point value then you get 25%percent free product whichever package they come in with and also earn 50percent cash bonus on each person you bring.. 🌸 Utapata PV na 25% ya bidhaa za bure na 50% ya bonus ukilinganisha na kifurushi watakazo jiungia .
*Do I have to sell to get paid?* *Je, Nilazima kuuza ndio nilipwe?*
🌺selling is not compulsory, You will use the products with your family or sell them if you want for your pocket money. 🌸 La si lazima.Unaweza tumia bidhaa binafsi au na familia.Ukiuza utapata faida 20%•
*What do I do after buying my stock?* *Nifanyeje baada ya kununua bidhaa?*
🌺Recruit 2 members and teach them to do the same.🌸 Wasaji watu wapya wawili na uwafundishe kama ulivyofanya.
*What if I recruit more than 2 members?* *Je , itakuwaje nikisajili zaidi ya watu wapya wawili?*
🌺you will register only 2 people under you and remaining people you decide where to place them under your downliners/legs. So that you help your people to earn because when they earn you also earn (Theres no selfishness in Norland) 🌸 Unaweza sajili watu wapya wawili kwako hao wengine utawaweka Chini ya hao.Hii inasababisha watu wote kuinuana bila ubinafsi.
🌺you also get pvs when your downliners joins under you. What they get you also get it. 🌸Vile vile utapata pvs toka Kwa Timu yako na kufaidika.
*When do I get paid?* *Je, utalipwaje?*
🌺You will get paid on the Friday from the day you joined the company if only you have at least 2 people under you. 🌸Utalipwa ijumaa ifuatayo toka siku umejiunga kama Tayari umesajili watu wawili. Hela Utaipata Jumatano ifuatayo.
🌺You will get paid every Friday.🌸 Malipo ni Ka ijumaa.
*What do I get except week bonus?* *Je kunafaida zipi zingine?*
🌺you will get points(PV).
🌸 Utapata Pvs
🌺You will qualify incentives through the points you have. 🌸PV hizo zitakuwezesha kupata promotion/ofa maalum.
🌺You will not forfeit your points. 🌸PV zako hazichujwi.
*Do we have incentives?* *Je ofa ziko?*
🌺Yes 🌸 Ndio
✈✈International
🌺3 free international trips per year. 🌸Safari za Kimataifa ✈️✈️mara 3 Kwa mwaka.
🚙🚙Car incentive
🌺and car promos .🚗🚗Gari kila mwaka
🌺minimum car🚗🚗 incentive is Ksh 600,000 and maximum 1.3Million and ferrari,larmbogini and mercedez benz as car incentives🌸 Gari 🚗ndogo ya Millioni 12,600,000 Hadi ya Millioni 27,000,000.🏎️
🏘housing incentive 🏘️Ofa ya Nyumba ya kifahari
You're wired for greatness. 👑Hapa ndipo kwenye Mafanikio.
JOIN NORLAND TODAY AND SMILE TO THE BANK.. *JIUNGE NA NORLAND LEO NA UPATE UTAJIRI.*
*Norland Itufanikishe, Ikufanikishe Inifanikishe*
KWA JINSI YAKUNUNUA BIDHAA AUKUJIUNGA ,NIULIZE TAFADHALI.KARIBU.
No comments:
Post a Comment